Picha zote ni gari aina ya Toyota Hiace lenye
namba T 771 AQD mali ya Shule ya Sekondari ya Scolastica ambalo lilipata ajali
Desemba 10 eneo la kona ya Mto Kikavu iliyopo Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanajro
na kuuwa watumishi watano wa shule hiyo baada ya kugongana na lori. Picha na
Rodrick Mushi.
on Tuesday, December 11, 2012
Post a Comment