Menejimenti ya benki ya
CRDB ikiwa tayari kumpokea raisi wa Burundi mheshimiwa, Pierre
Nkurunziza. |
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Burundi KIDUMU aliburudisha halaiki iliyojitokeza katika uzinduzi. |
Hawa pia ni wafanyakazi wa benki ya CRDB Burundi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya uzinduzi. |
Wafanyakazi wa benki ya CRDB Burundi wakiwa tayari kwa ajili za uzinduzi. |
on Sunday, December 9, 2012
Post a Comment