Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KILIMANJARO STARS YAWASILI DAR VICHWA CHINI


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ Kim Poulsen akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana pamoja na timu wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwasili jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana mara baada ya kuwasili wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
 

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top