Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika picha ya pamoja na wasimamizi na wafadhili wa mradi
huo
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na wawakilishi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambayo
imechangia dola za Marekani 450,000 kwa kipindi cha miaka mitatu ili
kufanikisha mradi huo, ambao ulizinduliwa rasmi mwezi Julai mwaka 2011. kushoto
ni meneja wa mradi huo Bw. Emmanuel Masenga wa Taasisi ya Utafiti wa wanyama
pori (TAWIRI).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012 akikata utepe katika boma maalumu
la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru kundi la pili la
wanyama hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la
mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa
ya Serengeti, mkoani Mara.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012 wakiwa nje ya boma
maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu akishuhudia kuachiwa huru kundi la pili
la wanyama hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu
la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Mbwa mwitu wakirejea
mbugani baada ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15 waliokuwa
wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi huo, lililojengwa
katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani
Mara.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimpongeza Bw. Joseph Kaboya, mhifadhi wa boma maalumu la mradi huo
katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani
Mara, kwa kufanikisha zoezi hilo kwa mara ya pili. Kushoto ni meneja wa mradi
huo Bw. Emmanuel Masenga wa Taasisi ya Utafiti wa wanyama pori
(TAWIRI).
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tawiri, Dkt. Simon Mduma (kushoto
kwake) na meneja wa mradi huo Bw. Emmanuel Masenga baada ya sherehe hizo eneo la
Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani
Mara.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012 wakielekea kwenye sehemu ya boma
maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu muda mfupi kabla ya kuachiwa huru kundi
la pili la wanyama hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma
maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Wahifadhi wakifungua
wigo wa senyenge ili kuachia huru kundi la pili la mbwa mwitu 15 waliokuwa
wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma hilo maalumu la mradi huo,
lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti, mkoani Mara.
Mbwa mwitu hao 15
wakitoka katika hifadhin waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma
hilo maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Post a Comment