 |
| Wajumbe wa Kikao cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, wakipitia ajenda za Kikao
katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, katika kikao cha siku moja,
Chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Dk.Ali Mohamed Shein, ikiwa ni kikao chake cha mwanzo tokea kushika nafasi hiyo
baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika Mjini
Dodoma. |
 |
Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein, (wa pili kulia) Katibu Mkuu
wa CCM Taifa Abrahman Kinana, (wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai, (kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiimba wimbo wa Chama wakati
alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui, katika Kikao cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, kilichofanyika leo
|
 |
| Wajumbe wa Kikao cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika
ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja. |
on Saturday, December 15, 2012
Post a Comment