Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padri Ambrose
Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae Zanzibar, leo Desemba 30,
2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI)
kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa na risasi na
watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia nyumbani kwake
mjini Zanzibar hivi karibuni. Kulia ni Muuguzi mwangalizi wa mgonjwa
huyo, Namsifu Fue.
Loading...
Home » Unlabelled » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI PADRI AMBROSE MKENDA ALIYELAZWA MUHIMBILI
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani1 hour ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment