Mkurugenzi
wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akiwaongoza wanamuziki wake kushambulia
jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza, jijini
Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kutoka
(kulia) ni Ramadhan Masanja (Banza Stone), Rogat Hegga (Katapila) Ally Choki
(Mzee wa Farasi) na Athanas, wakiimba kwa pamoja jukwaani wakati wa onyesho
hilo.
Hadija
Mnoga (kushoto) akishambilia jukwaa.
Mkaanga
Chips wa Extra Bongo, Martine Kibosho, akizicharaza Drams, wakati wa onyesho
hilo.
Mpiga
Gitaa la Bass, wa Extra Bongo, Oseah Bass, akiliungurumisha gitaa hilo wakati wa
onyesho hilo.
Wanenguaji
wa kike wa bendi hiyo, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho
hilo.
Wanenguaji
wa kiue wa bendi hiyo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho
hilo.
Post a Comment