Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha
Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Abdulhakim Ameir Issa,kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Brigedia
Jenerali Sharif Sheikh Othman,alipofika kujitambulisha kwa Rais
Ikulu Mjini Zanzibar leo,akiwa ni Kamanda wa Brigedi ya Nyuki
(101KV)
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh
Othman,alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo ,akiwa ni Kamanda wa Brigedi ya Nyuki (101KV). Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment