Baadhi ya waheshimiwa
Mawaziri wa Mazingira kutoka katika kundi la nchi za SADC walipokutana leo Mjini
Doha, ili kuweza kupata kwa ufupi kutoka kwa mwenyetiki wa kundi la Africa
yaliyojadiliwa katika mkutano wa 18 wa dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa
mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Doha
Loading...
Post a Comment