Bondia Said Mundi wa
Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9
katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Promota ya mpambano wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwa na baazi ya mabondia |
Baazi ya mashabiki wakishangilia wakati wa upimaji uzito wa mabondia watakaopambana katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya 9 desemba |
Bondia Nassibu Ramadhani kushoto akitunishina Msuri na bondia Fransic Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa 9 Desemba Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake Said Mundi kushoto mpambano utakaofanyika Desemba 9 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Post a Comment