Rais
Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia
pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dr.Tomaz Salomao. na Mawaziri wa nchi
hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha
dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
leo.
Rais
Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika
kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
leo.
JK (Kulia) na Katibu wa SADC Tomaz Salomao
wakiteta kk Mkutano leo
Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini (kush)
pamoja na Katibu wa SADC Tomaz Salomao wakielekea katk ukumbi wa mkutano jijini
Dar
Rais wa Tanzania Dr, Jakaya Kikwete(kushoto)
akiongea na ujumbe wa Tanzania.
JK (katikati)akiongea na Rais wa Msumbiji
Armando Guebuza(kushoto) na (kulia) Rais wa Namibia Hifikepunye
Pohamba
Picha ya pamoja (JK) akiwa katikati pamojawakuu
wa nchi na MARAIS wa nchi za SADC
kwenye ufunguzi wa mkutano wa SADC unaofanyika jijini Dar es salaam Dec 8, 2012. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
kwenye ufunguzi wa mkutano wa SADC unaofanyika jijini Dar es salaam Dec 8, 2012. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Post a Comment