Leo masaa
kadhaa yaliyopita kumekuwa na tetesi kwamba msanii wa muziki kutoka nchini
Canada anayefanya vema katika anga ya muziki nchini marekani Justine Beiber kuwa
ameaga dunia.Watu wengi wamekuwa wakipost facebook na baadhi ya mitandao mengine
ya kijamii kuhusu habari hiyo lakini wamekuwa hawana uhakika na wanachokiongea
kutokana na kukosa link ambayo inaonesha ukweli kuhusu kifo cha
bieber.
baada ya kuperuzi huku na huko ili
kudhibitisha ukweli wa kifo hicho, kwenye mtandao ulioandika kuhusu kifo cha
Justine Beiber ni http://justin.bieber.swellserver.com/news/top_stories/auto80.php
..ambapo
wamesema kuwa Justine beiber amekufa katika ajali ya gari huko
Morristown.
lakini
ukifatilia zaidi inaonyesha kuwa huo ni mtandao unao deal na celebrity fake
news
na dakika kadhaa zilizopita Justine Beiber ametweet katika mtandao wa ''twitter'' kitu kinachodhihirisha ya kuwa yupo hai na hizi nitweet ambazo Beiber ametweet muda mfupi uliopita
na dakika kadhaa zilizopita Justine Beiber ametweet katika mtandao wa ''twitter'' kitu kinachodhihirisha ya kuwa yupo hai na hizi nitweet ambazo Beiber ametweet muda mfupi uliopita
1 comments:
udaku hatutaki
ReplyPost a Comment