Kikosi cha paredi
cha Jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita mbele ya maofisa wa Vyombo vya
ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio la kuadhimisha miaka 51 ya
Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru leo asubuhi ambapo keshokutwa Desema 9
mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja huo Mgeni rasmi anatarajiwa
kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete.
Kikosi cha jeshi la
Magereza kikipita mbele ya maofisa hao
Kikosi cha Bendera kutoka
Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.
Kikosi cha Wanamaji
kikitembea kwa Mwendo wa Polepole.PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM
Post a Comment