Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Kikwete atunuku Nishani Ikulu wakati wa Sherehe za miaka 51 ya Uhuru

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana ametunuku nishani kwa watu kutoka makundi mbalimbali yajamii waliotumikia taifa kwa uadilifu na kutoa mchango wa pekee.Miongoni wa waliotunukiwa nishani leo ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ,Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo pamoja na Msanii Mkongwe Bi.Fatma Baraka Khamis(Bi.Kidude) Pichani juu.Wengine waliotunikiwa nishani ni pamoja na Watumishi wa umma na askari jeshi na polisi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam,(katikati)Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Mwinyi.

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Jaji Mstaafu Eusebia Munuo akivishwa nishani baada ya kumvisha nishani yake leo
Rais Jakaya Kikwete akimvisha nishani Balozi Ombemi Sefue ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi ikulu leo jijini Dar es salaam
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top