Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi, Kiuchumu na
Ushirika,katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na
Ramadhan Othman,IKULU.
Post a Comment