Naibu Waziri
wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Mhe. Stephen Masele akitoa hotuba
ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini nchini,
uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
Uongozi wa mpito kitaifa wa Chama cha
Wachimbaji Wadogo wa Madini mara baada ya kuchaguliwa namkutano wao mkuu wa mwaka uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Waziri wa
Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akihutubia Mkutano Mkuu wa
mwaka wa
wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa
Sospeter Muhongo (wa kwanza kushoto), na Naibu wake Mhe. Stephen Masele
wakishiriki katika mkutano mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa
madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma
Waziri wa Nishati na
Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (katikati) katika picha ya pamoja
na makamishna wasaidizi wa madini kutoka kanda mbalimbali, mara baada ya kufunga
mkutano mkuu wa mwaka wa wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni
mjini Dodoma.wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Post a Comment