KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO
MAJALIWA AKIONGEA MACHACHE KABLA YA KUKABIDHI GARI
KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO
MAJALIWA AKIKABIDHI GARI
REDDS MISS TZ 2012 AKIFURAHI BAADA YA
KUKABIDHIWA GARI LAKE NA KATIBU MKUU KAMATI YA MISS
TANZANIA
REDDS MISS TZ 2012 AKIPITIA NYARAKA ZA GARI LAKE BAADA YA KUKABIDHIWA NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO MAJALIWA.
REDDS MISS TZ 2012 AKIPITIA NYARAKA ZA GARI LAKE BAADA YA KUKABIDHIWA NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO MAJALIWA.
Brigitte
Alfred, Redds Miss Tanzania 2012 akikabidhiwa zawadi ya gari yake jana tarehe
10 Desemba 2012 na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, bw. Bosco Majaliwa.
katika ofisi ya Lino International Agency Limited zilizopo Mikocheni jijini
D'salaam.
Post a Comment