Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SADC Watua Dar Kwa Dharura


 


Rais Yoweri Museveni wa Uganda (kulia) akisalimiana na Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Gharib Bilal (kushoto) Dec,7,2012 alipowasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK ,Nyerere jijini Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Rais wa Mozambique Armando Guebuza (kushoto) akiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataia Membe

Rais wa Jamhuri yaKidemokrasia ya Congo( DRC) Joseph Kabila (kushoto) akipokelewa na Waziri wa Uvuvi Dkt. David Mathayo Dec,7,2012 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jk . Nyerere jijini Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Zambia Dkt.Guy Scott (kulia) akifurahia jambo na Waziri wa Uchukuzi Dkt, Harison Mwakyembe (dec,7,2012) wakati wa mapokezi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini DSM kwaajili ya kuhudhuria mkutano wa dharura wa SADC

Kikundi cha sanaa ya matarumbeta kinachoongozwa na gwiji wake Mzee Hoza,kikitoa burudani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK, Nyerere Dec,7,2012 wakati wa mapogezi ya Marais na wajumbe mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa SADC jijini Dsm.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top