Kiongozi wa safari ya
kupanda Mlima Kilimanjaro,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George
Waitara (aliesimama) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika
lango la Marangu.Kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Balozi Mirisho
Sarakikya.
Mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Mh James Lembeli akizungumza
wakati wa hafla hiyo.
Mgeni rasmi katika hafla
hiyo alikuwa ni mkuu wa majeshi wa kwanza Tanzania (jenelari mstaafu) Balozi
Mirisho Sarakikya akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi
waliokuwa wakipanda mlima Kilimanjaro hivi karibuni.
Vifaa vya wapandaji vikiwa
tayari.


Post a Comment