Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SHEREHE YA MIAKA 15 YA BENDI YA FM ACADEMI KUFANYIKA DESEMBA 14 JIJINI DAR ES SALAAM

Ofisa Masoko wa Kampuni ya Tigo Bw.Alex Msigara.(kulia)Akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo kwenye Hotel ya Southen Sun jijini Dar es salaam juu ya kudhamini maadhimisho ya miaka 15 ya bendi ya muziki ya FM Academia,Sherehe hiyo itafanyika tarehe 14 Desemba mwaka huu msasani Beach Club ,Ambapo amesema wao kama Tigo wameamua kufunga mwaka kwa kusaidia jamii wanayoihudumia katika Nyanja zote ikiwemo ya burudani kama sehemu ya shughuli zao za kijamii .
Amesema Tigo itatuma ujumbe mfupi wa maneno kwa wateja wote wa jiji la Dar es salaam kuwapa taarifa kuhusu maadhimisho hayo ya miaka ya 15 ya bendi ya FM Academia.(katikati)Mwimbaji wa bendi hiyo Bw.Nyoshi El Sadaat.(kushoto)mratibu wa onesho hilo Bw.Nasibu Mahinya.
Mwimbaji wa bendi hiyo Bw.NyoshI El Sadaat,(kulia)akiishukuru kampuni ya tigo kwa kudhamini sherehe hiyo,(kuli kwake) mratibu wa onesho hilo Bw.Nasibu Mahinya.na Mule mule F.B.I pamoja na Apstote Shungu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top