BONDIA maarufu duniani Mike
Tyson adaiwa kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke, habari kutoka katika mitandao ya kijamii zinasema kwamba
Tyson amechukua uamuzi wa kujibadili jinsia na kwamba mwenyewe anafurahia
kufanikisha zoezi hilo, ila kwa mujibu wa mitandao hiyo habari zinasema kuwa
furaha ya Tyson itazidi zaidi mara tu baada ya kuanza kupata siku zake za hedhi
kama ilivyo kwa wanamke wengine, chanzo cha Habari kilizidi kutiririka kua baada
ya mbabe huyo wa ndondi wa zamani kufanikisha zoezi lake hata tabia zake mbaya
zimebadilika,kwasasa sura yake imebadilika na kuwa na mvuto kama
kwanamke.
Dah,ama kweli dunia imebadilika
hata Tyson kufikia uamuzi huu!!!
Ee Mungu wanusuru Waafrika
wenzetu wasije kuiga tabia hii chafu ambayo pia ni chukizo kwako.Kwa picha zaidi
zinazomuonyesha muonekano wake wa sasa, endelea kufuatilia NDGSHILATU BLOG hivi
karibuni mtaziona.
Moja ya picha za Tyson akiwa na familia
yake.
Post a Comment