 |
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akikata utepe
akiashiria ufunguzi wa jengo la ghorofa kwa ajili ya makazi ya Askari Magereza
mjini Iringa, huku mvua ikinyesha. Ufunguzi huo uliambatana na sherehe kubwa ambayo iliudhuriwa na
viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na maofisa wa Jeshi la Magereza.
|
 |
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (aliye vaa kiraia
kulia) akifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la ghorofa kwa ajili ya
makazi ya Askari Magereza mjini Iringa. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Magereza
nchini (CGP), John Minja.
|
on Saturday, December 15, 2012
Post a Comment