Mbunge wa
Mtwara kulia kiwa na mbunge wa ruanga
Wananchi wa Mtwara
wameandamana kupinga kuhamishwa kwa gesi ambayo inachimbwa huko na kuletwa Dar
es salaam, wananchi hao wanasema wameahidiwa na serikali ya kuwa gesi hiyo
ingeweza kuwasaidia wao badala yake wanaambiwa gesi hiyo itasafirishwa na
kuletwa jijini Dar.
Kwa hivi sasa wananchi
hao wamekusanyika kwa wingi wakitoka maeneo mbali mbali nchini Tanzania na
kushiriki maandamano hayo ambayo yanaonekana yatasaidia kuishinikiza serikali
kurudisha gesi hiyo na ikaweza kuwasaidia wananchi wa mkoa huo. Kwa taarifa
zaidi tutawaletea baadae
Post a Comment