Mwenyekiti wa
Wama mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vitanda 80 kwa
uongozi wa Hospitali ya Muhimbili leo, kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa
jamii Dk. Hussein Mwinyi na kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk
Marina Njelekela.
Mama Salma
Kikwete akisoma hotuba yake mara baada ya kukabidhi vitanda 80 katika hospitali
ya Muhimbili leo (kushoto) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hussein
Mwinyi na kulia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk Marina
Njelekela.
Mkurugenzi wa
Hospitali ya Muhimbili Dk Marina Njelekela akimshukuru mama Salma Kikwete mara
baada ya kupokea msaada wa vitanda hivyo leo.
Post a Comment