Watalii wakichagua Kadi kwa ajili ya kuwatumia
jamaa zao kuwapongwza kwa Mwaka mpya unaotarajiwa wiki ijayo, wakiwa katika moja
ya duka la vitu vya kitalii katika mitaa ya Mji Mkongwe.
Msanii wa Sanaa na uchoraji na muziki wa Kizazi
Kipya Zanzibar Mody Kay.akiwa katika sanaa ya uchoraji wa picha za Tingatinga
katika mitaa ya Mji Mkongwe, kwa ajili ya Biashara ya Kitalii kwa wageni
wanaotembelea mitaa hiyo akiwa katika mtaa wa Hurumzi ,akiwajibika wakati wa
asubuhi na jioni kijishughulisgha na mambo ya muziki, mkoba mmoja huu kwa
shilingi 15000/=
Post a Comment