Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Mhe. Sophia Simba akizindua kongamano la watoto lililoandaliwa na Save the Childrean Internation lililofanyika kurasini jijini Dar es Salaam


Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la Watoto kutoka Halmashauri mbalimbali.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Na Watoto Mhe Sophia Simba akikemea kwa msisitizo suala la viboko mashuleni.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la Watoto kutoka Halmashauri mbalimbali.
Wajumbe wa baraza la watoto
Sehemu ya wajumbe
Wajumbe wakiwa makini
Wajumbe
Kongamano likiendelea
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Mhe. Sophia Simba akiongea na wana habari baada ya kuzindua kongamano la watoto
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Mhe. Sophia Simba akizindua kongamano la watoto lililoandaliwa na Save the Childrean Internation lililofanyika kurasini jijini Dar es Salaam trehe 7/12/2012. Picha na Sakina Mfinanga

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top