Askari wa kike na wakiume wakimdhibiti kwa bakora na marungu mwanafunzi wa IFM (mwenye nguo za blue) baada ya kumchomoa kwenye jengo alilojificha ili kukwepa mabomu ya machozi. |
Mwanafunzi huyu alilala kabisa na kupoteza fahamu baada ya kuzidiwa na moshi wa mabomu ya machozi yaliyopigwa kwenye eneo la kituo hicho cha Polisi. |
Mwanafunzi huyu alidondoka kwenye Difenda baada ya Defenda hilo kujazana wanafunzi wengi ambao wakipelekwa kwenye kituo cha Polisi Kigamboni. |
Kichapo kilipozidi hakukua na mtu aliyejali kama notes zake zinapotea kila mmoja alitarazaq juu ya maisha yake. |
Baada ya kitikisa mabomu yakutosha kwenye baa pembeni ambako waalijificha wanafunzi hao walitaka amani itawale huku wakikimbilia gari la polisi ili wajisalimishe. |
Huyu alishikiliwa mapema mara baada ya mabomu kuanza kupigwa, huku akionja joto ya jiwe ya askari hao ambao walionekana kuwa na uchu wakupiga. |
Hapa amri ilikuwa ni mwendo wa kutembea kwa magoti lakini kipigo cha bakora kililazimisha wengine kuwaruka wenzao ama kuwakanyaga wale waliochini. |
Huyu hakujiweza kabisa mabomu yalimchanganya na kudondoka toka kwenye Difenda ya Polisi. |
Virungu vilitumika
kushindilia watu kwenye Difenda. |
Hiki ndicho kikosi Kamili kilichotumia dakika 15 kusambaratisha kundi la wanafunzi zaidi ya 800 walioweka kambi ya muda mfupi kwenye kituo cha Polisi Kigamboni . |
Post a Comment