Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kweneye
mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza na mgeni
rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Phili
Mangula
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrisoin Mwakyembe wakiwaaga wananchi, baada ya Mkutano
mkubwa wa hadhara wa CCM uliofanyika leo kwenye uwanja wa Nyamagana jijini
Mwanza
on Sunday, January 20, 2013
Post a Comment