Meya wa mansipaa ya Ilala,Jerry Silaa (wapili kutoka
kushoto)na Mkuu wa Wilaya Ilala,Raymond Mushi wa kwanza kulia,pamoja na
waheshimiwa wengine washirikiana kwa pamoja kufanya uasafi pembezoni mwa
fukwe ya baharia ya Hindi Ocean Road jijini Dar es salaam jana ikiwa ni
mwendelezo wa kuhakikisha Halmashauri ya Ilala inaongoza kwa usafi jijini
Dar es salaam ambapo kampeni ya usafi imezinduliwa leo rasmi zoezi hilo
limeendeshwa na Kampuni ya kisasa ya Green WastePro Ltd ambayo ndio yenye
Zabuni ya kufanya usafi katika maeneo mbali mbali ndani ya
Halmashauri ya Wilaya ya Ilala,jana wameanza na fukwe hizo na baadae wataendela
na kata ya Mchafu Koge,na kumalizia kata ya Kisutu baadae zitahusishwa
manispaa zingine katika mkoa wa Dar es salaam.
Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa kwenye usafi katika fukwe za
Gymkana jana
Watoto wa mitaani nao wakijumuika na Meta wa Ilala Jerry Slaa na
Mkuu wa Wilaya Ilala Raymond Mushi pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika
kampeni hiyo ya usafi.
Wafanyakazi wa kampuni ya Green WastePro Ltd wakiwa mapumzikoni
mara baada ya kumaliza usafi.
Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakikusanya taka ili kuzizoa kwa gari
maalum la kubeba taka la kampuni ya Green WastePro Ltd
Wafanyakazi wa kampuni ya Green WastePro Ltd wakiwa kwenye picha
ya pamoja
Meneja wa kampuni hiyo Bi.Elizabeth Scheepois akifieka majani
wakati wa kampeni ya usafi.
Post a Comment