Leo asubuhi kumetokea hali
ya kutokuelewana kati ya kocha Roberto Mancini na mchezaji toto tundu Mario
Balotelli kiasi cha kufikia kushikana mashati na kutaka kupigana kama isingekuwa
kuamuriwa na wachezaji wengine. Chanzo cha ugomvi wa wawili hao kinasemekana ni
rafu ya Balotelli aliyomchezea mchezaji Scot Sinclair katika mazoezi hayo ya
kujiandaa na mechi ya FA Cup dhidi ya Watford.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Duniani Leo3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment