JB akijadiliana jambo
na wasanii wengine wa Bongo movi leo alipofika kutoa pole ya msiba wa marehemu
sajuki
Jb akitoa pole kwa
wafiwa leo alipofika kutoa pole ya msiba wa msanii sajuki aliyefariki jana
asubuhi katika hospitali ya taifa muhimbili.
Waombolezaji
wakimfariji mke wamarehemu sajuki leo nyumbani kwake tabata bima
Mke wa marehemu Sajuki
akiwa kwenye huzuni kuomboleza kifo cha mumewe
JB Akizungumza na Baba
wa marehemu
Post a Comment