Baadhi ya Kadi zilizorejeshwa.
Nape akikabidhi kadi kwa wanachama wapya.
Katibu wa Itikadi na
Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Rungwe Mpya na Asante Nyerere
katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Rungwe Mpya kilichopo
Kata ya Rungwe Mpya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye
akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi ya CCM Kijiji cha Rungwe Mpya Wilayani
Kasulu.
Nape akiangalia jengo hilo la CCM
Post a Comment