Mwenyekiti wa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Jospeh Warioba, ataongea na Wanahabari kuhusu
utekelezaji wa majukumu ya Tume hiyo kesho, Jumamosi, tarehe 5 Januari, 2013,
kuanzia saa 4:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano uliopo 'Ground Floor' katika
jengo la Ofisi za Tume jijini Dar es
Salaam. Kwa rejea, ofisi za Tume zipo
mkabala na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, mtaa wa
Ohio.
Vyombo vyote vya Habari
vinakaribishwa
Omega
S. Ngole,
Principal
Information Officer,
Constitutional
Review Commission (Tanzania),
Mobile:
+255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz
Post a Comment