Wastara aliyefunikwa uso akilia
kwa uchungu
Wastara aliyeshikwa kichwa akilia
kwa uchungu kutokana na msiba wa mumewe Sajuki
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili nyumbani kwa Marehemu SAJUKI Tabata Bima jijini Dar es Salaam leo.
Mke wa marehemu Wastara yani ilikuwa ni vigumu kuvumilia na kujikuta akilia muda wote na kufarijiwa na ndugu wa karibu nyumbani kwao Tabata Bima jijini Dar. kushoto ni mama wa marehemu Bi. Zaitun
Ndugu,
jamaa na marafiki wa karibu wa Msanii Sajuki, wakiwa katika maombolezo ya msiba
wa kipenzi chao, nyumbani kwa marehemu Tabata Bima, Dar es Salaam,
leo.
Wasanii wa vichekesho Tanzania,
Mtanga kushoto na Kiwewe wakiingia msibani Tabata Bima leo.
Baba
yake Sajuki, mzee Kitilu alisema kuwa ameona hana sababu za kuwakatalia wasanii
kwa ombi la kushiriki kwa karibu msiba wa mwenzao, jambo lililomfanya akubali
haraka kwa ajili ya umuhimu wao.
Mtangazaji wa Clouds Tv, Zamaradi
Mketema, akizungumza na wadau wa filamu katika msiba wa Sajuki nyumbani kwake
Tabata Bima leo.
Msanii mkongwe wa filamu Natasha,
akiingia msibani.
|
Waombolezaji wakiwasili kwenye
msiba wa Sajuki uliopo nyumbani kwake Tabata |
|
Msanii wa filamu Tea na mdau wa
filamu nchini Zamaradi wa Clouds Fm na kipindi cha Take One cha Clouds
Tv wakiwa kwenye majonzi makubwa kutokana na kutokuamini kama kweli Sajuki hatunaye tena |
|
Wasanii wakiomboleza kushoto ni
Monalisa |
|
Dokii akiingia
msibani |
|
Bibi wa Marehemu akiiingia
nyumbani |
|
Sebuleni wanandugu wakiwa
wanaomboleza |
|
Aha we acha tu, anaovyoonekana
kusema Yusuph Mlela |
|
Wasanii hawa ndio walikuwa
kwenye filamu ya mwisho ya merehemu ambayo haikutoka inaitwa Mwanasheria
|
|
Sehemu ya mbele ya nyumba ya
marehemu |
on Wednesday, January 2, 2013
Post a Comment