MAMA MZAZI WA MAREHEMU SAJUKI |
Aliyekua msanii wa
tasnia ya filamu Juma kilowoko alimaarufu kama sajuki,amefariki dunia alfajiri
ya kuamkia Jumatano tarehe 2.01.2013 katika hospitali ya taifa ya
muhimbili
Sajuki alizaliwa mwaka
1986 jijini Songea mkoani Ruvuma,ameacha mjane na mtoto mmoja wa
kike
Kulingana na maelezo ya
baba yake mzazi wa marehemu ameeleza kuwa sajuki atazikwa siku ya ijumaa tarehe
4 mwez wa kwanza 2013 katika makaburi ya kisutu jijini Dar Es
Salaam
MAZISHI YA JUMA KILOWOKO 'SAJUKI' YATAKUWA IJUMAA SAA TANO KWENYE MAKABURI YA
KISUTU DAR ES SALAAM
Msiba upo nyumbani kwake
Tabata Bima-Umoja Road karibu na RN Bar
Post a Comment