Makamu Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani akizunguma
na viongozi Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) (kushoto) katika mkutano
uliolenga kupata maoni ya kanisa hilo kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo ulifanyika
katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es Salaam leo (Ijumaa Januari 11,
2013).
Sheikh Ibrahim Ghulaam
wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini akitoa maoni ya Baraza
hilo kuhusu Katiba Mpya mbele ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati
wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo
(Ijumaa tarehe 11, Januari, 2013).
Mkuu wa Kanisa la
Waadventista Wasabato (SDA), Kanda ya Mashariki Mchungaji Mark Malekana
(kushoto) akitoa maoni ya kanisa lake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es
Salaam leo (Ijumaa Januari 11, 2013)
Post a Comment