-
“Nilisema sigombei, hivyo hatugombanii vyeo, tunaheshimiana na tunaelewana.
Niliongeza kuwa 2010 sikugombea, tulimtuma Dk. Slaa na alitosha katika nafasi
ile na hakuna anayebisha kuwa hakutosha maana alitupatia wabunge
wengi.
Niliwaambia kuwa mimi ni mwenyekiti, nitasimamia kanuni na
taratibu za kuwapata wagombea wazuri, tangu rais, wabunge na madiwani, na
nikasema ni vema tukawatambua wagombea mapema kwani hatutakubali wale
wanaojiunga mwishoni kutoka CCM kwani tumegundua ni mamuluki.
Hao wananilisha maneno kwa kunitolea kauli tofauti
na niliyoisema kulingana na malengo yao,” - Mbowe!
on Thursday, January 3, 2013
Post a Comment