Pichani Juu n Chini
ni Mh. Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anaulizia bei ya Nanasi kipindi alipokuwa
Mkoani Katavi kwa ajili ya mapumziko ya Krismasi na mwaka mpya kutoka kwa Bw.
Aizaki Edward ambaye ni mfanyabiashara anayeuza Mananasi kutoka mkoa wa Kigoma
na kuleta Mpanda. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa mkoa Katavi Dr Rajabu
Rutengwe.(Picha na Chris Mfinanga).
Watoto Gifti Methiu
miaka 3 Leah Moses 3 na Gloria Shila 2 wakiwa wanamkaribisha Mh Waziri Mkuu
Mizengo Pinda chakula ambacho walikuwa wanajipikilisha kwenye makopo watoto hao
walikutwa na Waziri Mkuu katika mtaa wa Mpanda siku ya mwaka
mpya.
Post a Comment