Makamu wa Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa skafu na
Kijana Chipukizi,Pili Hassan Suluhu, wakati alipowasili
katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo
asubuhi,kwa ajili ya Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa
CCM.
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif
Iddi,mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar, kuzindua sherehe za Maadhimisho ya miaka 36 ya
Kuzaliwa kwa CCM,(kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya
Silima.
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi,waliohudhuria katika Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,zilizofanyika leo katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar. |
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiongozana na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakielekea katika jengo
la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,kwa ajili ya kuweka
saini kitabu cha wageni,wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya
miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.
Post a Comment