Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo
na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki (katikati) pamoja na
Mbunge wa Viti maalumu Ester Bulaya, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma,
leo.
Mwanasheria Mkuu Mkuu wa Serikali Mh. Jaji Frederick
Werema (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazir wa Habari,Vijana, Utamaduni
na Michezo, Amos Makalla, leo Bungeni mjini Dodoma.
Waziri
wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe
(kulia) akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Yusuph Abdallah Nassir,
katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo.
Mbunge wa Iramba Magharibi Mwingulu Nchemba (kulia)
akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nasari,
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa
(kushoto), Mbunge wa Viti Maalumu, Margaret Sitta (wa pili kushoto) na Waziri wa
fedha William Mgimwa (mwenye miwani) pamoja na Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia
(kulia) wakibadilisha mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo
, baada ya Mbunge James Mbatia
kuwaslisha hoja yake binafsi kuhusu Udhaifu uliopo katika sekta ya Elimu
nchini.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa, akionyesha kimoja kati ya
vitabu vinavyotumika mashuleni alipokuwa akijibu hoja mbalimbali zinazohusu
elimu baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia, kuwakilisha
hoja yake binafsi ya Udhaifu uliopo katika sekta ya elimu nchini. Picha na
Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Post a Comment