Maandalizi makubwa yafanyika jijini Washington
DC kwa Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani Barack Obama yameanza
kukamilika.
Vyombo vya Habari mbali mbali hapa nchini Marekani vimekuwa katika kukamilisha matayarisho ya kupata matukio ya kuapishwa Rais Barak Obama kwa muhula wa Pili Ikiwa Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Kiafrika kuchaguliwa kwa mara ya pili na hivyo kuifanya sherehe hiyo kuwa ya Kihistoria.
Sherehe hizo zitafanyika katika viwanja vya National Mall na Memorial Parks zitahudhuriwa na mamilioni ya Raia wa marekani na wageni kutoka nchi mbali mbali kote ulimwenguni.
Rais Obama wa Marekani alichaguliwa kwa kura nyingi baada ya kumshinda mgombea wa kiti cha chama cha Republican Mitt Romney na kuingia awamu ya pili ya Urais ya Urais wa Marekani

Karibia mwenzi mzima ufundi wa maandalizi ya
Obama inauguration 2013 yaliokua yakifanyika katika maeneo mbali mbali ya
Jijini Washington DC yaaza kutia Sura, hapa ni Jengo la Congress ya Marekani
Jijini Washington DC.

Baadhi ya ufundi uliokamilika katika jingo la
Capitol Hill liliopo washington DC na viti vilivyopangwa rasmi kwa ajili ya
wageni wanunuzi watikiti za 2013 Inauguration History ndio makazi yao
yatakapokua hapa kwa siku ya Jumatatu Jan. 21, 2013 (Picha zote na
swahilivilla.blogspot.com)
Picha 2008 Inauguration History: Hivi ndivyo
itakavyokua Siku ya Jumatatu Januwari 21, 2012 kwenye Jumba la Congress ya
MarekaniDown Town Washington DC.

Sehemu kubwa ya sherehe ya kuapishwa kwa rais
Obama ikifanyiwa ukarabati wamuda.
Rubber floor tiles zikitandazwa maeneo ya
sakafu zilizokua na mchanga kwaajili ya kuhifadhi tope tope zisitimke na
kuharibu eneo hilo kubwa la National Mall,

Kukanyaga mchanga Marekani ni kosa kubwa na
ndio maana wameweka Rubber floor tiles kwaajili ya kukanyagia ili kunusuru
michimbuko ya tope tope na kutoshafua barabara kwa msongamano wa watu
watakaomiminika kutoka Nchi mbali mbali kuja kushuhudia kuapishwa kwa
Obama

Sehemu iliotandikwa Rubber floor tiles: Hivi
ndivyo Rubber floor tiles zinavyotandikwa kwenye michanga ili kunusuru topetote
raia wasichafuwe maeneo ambayo bado yanafanyiwa ukarabati sehemu ya National
Mall Jijini hapa.

Hivi ni baadhi ya yyoo vya Potty shortage
vinavyotumika kwa haja ndogo na kubwa viko tayari kwaajili ya raia na wa geni
watakao miminika kuanzia kesho Jumapili na Jumatatu siku ya Obama's
inauguration

12 News: Baadhi ya magari ya kuhabarisha
National na Local Channels Television Live kutoka majimbo tafauti nchini
Marekani yajikusanya sehemu maalumu Washington DC kwa ajili ya Obama's
inauguration 2013

Fox5 News: Channels Television Live kutoka
majimbo tafauti nchini Marekani yajikusanya sehemu maalumu Washinton DC kwaajili
ya Obama's inauguration 2013

Fundi mitambo wa NBC NEWS akianda mpango mzima
wa kuahabarisha sherehe za kuapishwa kwa rais wa Marekani Barack Obama
Live

14 News: Pia wako tayari kwa kutoa huduma za
kuhabarisha matangazo ya moja kwa moja kwenye kumbukumbu za 2013
Inauguration

News 8 Channel: Hali kadhalika wako tayari kwa
kutoa huduma za kuhabarisha matangazo ya moja kwa moja kwenye kumbukumbu za
2013 Inauguration

Banda la CBS NEWS lilijengwa kwa muda vile vile
wako tayari kwa kutoa huduma za kuhabarisha matangazo ya moja kwa moja kwenye
kumbukumbu za 2013 Inauguration

Channel marufu ya CNN wakia kwenye uwanja wa
National Mall na wao pia wapo tayari kwa kutoa huduma za kuhabarisha na
matangazo ya moja kwa moja kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Obama 2013
Inauguration

Basi lililowakilisha baadhi ya wafanyakazi wa
CNN kumbukumbu ya 2013 Inauguration ndani ya Jiji la Washington DC

Basi jengine lililowakilisha wafanyakazi wa
C-SPAN kumbukumbu ya 2013 Inauguration ndani ya Jiji la Washington DC

Kamera iliopo mbele ya Presidential Inaugural
Review Stands, in front White House Washington, D.C. baada ya kuapishwa kwa
Obama. hii ni moja itakayo tumika kwenye Inaugural Review Stands

Sony Camera ipo tayari kwa kuhabarisha mbele ya Presidential Inaugural Review Stands, mbele ya White House Jijini Washington DC.

Mbele ya White House ni Presidential Inaugural Review Stands, Washington, D.C. baada ya kuapishwa kinachofuata ni kuangalia Parade zilizoandaliwa kiratiba kwa kila rais anaeapishwa rasmi Nchini Marekani

Nyuma ya Presidential Inaugural Review Stands ni White House kuna ujia mrefu wa Red carpet ndio atakaotumia kuingilia kwenye Review Stands.

Mjengo wa Matangazo pamoja na Camera LIVE uliojengwa kwa moda mbele ya White House

Benchi nyingi zilizojengwa kwa ahili ya wageni na rais kutoka sehemu mbali mbali watatumia kukalia wakati wa Parade

Post a Comment