jana kulitokea mvurugano Bungeni mara baada ya Mbunge
wa Ubungo, John Mnyika kutoa hoja yake, kitendo ambacho aliyekuwa akiongoza
kikao hicho, Naibu Spika, Job Ndugai, alisema ameacha kiendelee ili Watanzania
washuhudie.
Tafadhali bofya kifute cha pleya mojawapo kati ya mbili zilizopachikwa hapo, ili usikilize audio hii iliyorekodiwa jioni ya leo katika kipindi cha Yaliyotufikia cha WAPO FM radio.
Popout
|
Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja
kupinga hoja Bungeni
Naibu Spika Bunge,Mh. Job
Ndugai (kulia) akionyeshwa makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh. Joshua
Nassari muda mfupi baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge
jana
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Tundu
Lissu (kulia} akijadiliana jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya
ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru
Mashariki, Mh. Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa.
(picha na Mwanakombo Jumaa - Maelezo.)
Post a Comment