|
Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Mjini Magharibi CCM, kabla ya
pambano na Timu ya Kaskazini CCM, mpambano hu wa failani ya Dokta Shein Cup,
katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, katika kilele cha Mika 36 ya Kuzaliwa
CCM. |
|
Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya kaskazini Unguja, kabla ya pambano
na Timu ya Mjini Magharibi CCM, mpambano hu wa failani ya Dokta Shein Cup,
katika Uwanja wa Amaan Studiu Mjini Unguja, katika kilele cha Mika 36 ya
Kuzaliwa CCM. |
|
Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na waamuzi wa Pambano la Fainali kati ya Timu ya kaskazini
Unguja na Mjini CCM, Dk.Shein Cup uliochezwa katika uwanja wa Amaan Studium,
kaskazini iliweza kuicharaza Mjini kwa mabao 3-1 na kuibuka na kombe hilo,
katika kilele cha miaka 36 ya kuzaliwa CCM. |
|
Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akimkabidhi kombe la Dk.Shein Nahodha wa Timu ya Kaskazini Unguja CCM Ali
Hassan,baada ya timu yake kuibuka kidedea dhidi ya Mjini kwa mabao 3-1,katika
uwanja wa Amaan Studium,katika kilele cha mika 36 ya kuzaliwa CCM.
|
|
Mashabiki wa timu ya
kaskazini Unguja CCM, wakishangilia wakati timu ya CCM Mkoa mjini walipo ifunga
goli la Tatu katika mchezo wa Fainali ya Dk.Shein Cup, mchezo uliofanyika leo
katika uwanja wa Amaan, katika kilele cha miaka 36 ya kuzaliwa CCM, mgeni rasmi
alikuwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarna Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kaskazini iliibuka 3-1. |
on Wednesday, February 6, 2013
Post a Comment