Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene(kushoto) akisalimiana na Mbunge Khalifa Suleiman Khalifa (Gando) katka viwanja vya Bunge leo mjini Dododma.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-Magaeuzi) James Mbatia katika viwanja vya Bunge, Feb,2,2013 Dododma. (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR- Mageuzi James Mbatia (kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma baada ya kuambiwa aondoe hoja yake ambako alikataa.(Mwengine), ni Mnadhimu Mkuu wa Upinzani Tundu Lissu (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Post a Comment