Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NSSF YAWAPA SEMINA VIONGOZI WA SACCOS DAR ES SALAAM

 

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Mkoa wa DaresSalam. Kulia ni Meneja Utawala wa Kampuni ya Sccuct, Nicholaus Wambura ambao ndio waratibu wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Ukonga, David Marwa akizungumza wakati wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Kinondoni,
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Saccos mkoa wa Dar es Salaama. Wa pili kulia ni Meneja wa Kumbukumbu na Takwimu wa NSSF, Shabaan Mpendu.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina hiyo.
Ofisa Mwandamizi wa Kitengo cha Sekyta isiyo rasmi NSSF, Sami Khalfan.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina.
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii wa,kiwa katika semina hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Saccos Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika semina hiyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top