Mratibu wa taasisi ya Shikamana Brittany
Karima Cesarini ( kulia ) akiwakabidhi vipeperushi vyenye
ujumbe wa tuungane kutokomeza unyanyasaji,
wanafunzi, Husna Methew wa shule ya sekondari ya Jitegemee na
Moses Festo wa shule ya sekondari ya
Mbezi Beach na wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya
kutokomeza unyanyasaji kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za
sekondari jijini Dar es Salaam, ufunguzi huo ulifanyika katika ukumbi
wa Theater 1 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar
es Salaam, wakiwa na vitabu vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia Nchini
Tanzania wakati wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari juu
ya unyanyaaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja na utoaji wa
elimu ya utoaji wa mahusiano ya mazuri ya kimapenzi kwa vijana
.Shikamana wamedhamilia kuleta mabadiliko juu ya utoaji wa elimu
kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji na
udhalilishaji wa kijinsia.

Tanzania wakati wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari juu ya
unyanyaaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano
ya mazuri ya kimapenzi kwa vijana .Shikamana wamedhamilia kuleta mabadiliko
juu ya utoaji wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji na
udhalilishaji wa kijinsia.
Post a Comment