Mkuu wa wilaya Kigoma Ramadhani Maneno (katikati) akimkabidhi pikipiki
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Kigoma Daniel Mockray (Kushoto) iliyotolewa na mradi wa maendeleo ya bonde la ziwa Tanganyika kwa idara ya uvuvui ya halmashauri hiyo anayeshuhudia (kulia) Kaimu Mratibu wa
taifa wa mradi huo Magessa Bulai.
(Picha na Editha Karlo)

NaEditha Karlo Fullshangwe-Kigoma
………………………………………………..
IMEELEZWA kuwa umasikini unaowazunguka wananchi wanaoishi kuzunguka ziwa
Tanganyika mkoani Kigoma umesababisha kuendelea kuharibiwa kwa ziwa hilo
ikiwemo uvuvi wa kutumia nyavu zenye matundu madogo maarufu kama kokoro.

Mkuu wa wilaya Kigoma Ramadhani Maneno alisema hayo wakati akikabidhi vifaa
mbalimbali na pikipiki vyenye thamani ya shilingi milioni 40 vilivyotolewa
na mradi wa maendeleo ya bonde la ziwa Tanganyika kwa taasisi ya utafiti wa
samaki (TAFIRI) na idara za uvuvi katika Halmashauri ya wilaya kigoma namanispaa ya Kigoma Ujiji kwa ajili ya kudhibiti uvuvi haramu.

Ili kukabiliana na hali hiyo Mkuu huyo wa wilaya amesema kuwa juhudi za
makusudi za kuwatafutia miradi ya kiuchumi wananchi wanaoishi vijiji vya
mwambao wa ziwa Tanganyika hazina budi kuimarishwa.

Alisema kuwa kutokana na kuzungukwa na umasikini baadhi ya watu wanaoishi
katika vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika wamekuwa wakifanya shughuli za
kuwaingizia kipato kwa haraka hata kama shughuli hizo hakikubaliki kisheria
na matokeo yake yamepelekea kuhiribika kwa mazingira ya ziwa

Hata hivyo alisema kuwa pamoja na kutoa elimu na kuwapatia miradi
mbalimbali ya kuwainua kiuchumi serikali haitasita kuchukua hatua madhubuti
kwa wote watakaokamatwa wakijihusisha na shughuli ambazo zinasababisha
uharibifu wa ziwa Tanganyika.

Akizungumzia kutolewa kwa vifaa hivyo Kaimu Mratibu wa Taifa wa mradi wa
maendeleo ya bonde la ziwa Tanganyika, Magessa Bulai amesema kuwa vimelenga
kusaidia kuwajengea uwezo watendaji katika taasisi hizo kuweza kufika
maeneo mbalimbali ya ziwa hilo kwa ajili ya kusimamia shughuli za ulinzi na
uhifadhi wa ziwa Tanganyika katika shughuli za uvuvi.

Alivitaja vifaa vilivyotolewa kuwa ni pamoja na pikipiki nne, seti ya
vinakilishi ikiwa na printa yake (Computer) kwa kila taasisi, mashine kubwa
ya kutolea nakala (Photo copy) ambapo alisema kuwa pamoja n a kusaidia
usafiri pia vifaa hivyo vitasaidia uhifadhi wa kumbukumbu mbalimbali za
utendaji wa idara hizo.

Kwa upande wake afisa uvuvi wa halmashauri ya wilaya kigoma, Josephat
Gowele amesema kuwa uvuvi haramu wa kutumia makokoro bado ni changamoto
kubwa kwa halmashauri yake na kwamba kutolewa kwa vifaa hivyo kutasaidiakuimarisha doria za kila wakati na kupunguza vitendo vya uvuvi haramu

Post a Comment