Hapo
ndio tujue kuwa wenzetu hawabahatishi na hawana siasa kwenye kazi zao
proffessional....kazi kweli kweli!!wamehadithiwa tu wamemchora mtu yule
yule!!Angalia Mchoro wa Polisi Hapo chini na Ufananishe na mtu Huyu..
|
Mchoro
Uliyotumika Kumpata Muuaji |
NA MPEKUZI
BLOGSPOT
on Sunday, March 31, 2013
1 comments:
HII PICHA ILIPOTOLEWA MARA YA KWANZA JAMII FORUM WALIPUUZA KUWA POLISI WAMEKOSA KAZI YA KUFANYA LEO UTASHANGAA WAKIWASIFU POLISI HAINGII AKILINI NI SAWA NA POPO WAKATI MWINGINE HEKIMA NA BUSARA SIO KUZUNGUMZA KILA UNAPOJISIKIA WAWEZA KUGUNDULIKA KUWA ZUZU MARA MOJA
ReplyPost a Comment