Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja (waliokaa wa kwanza
kulia) akiwa na wakuu wa jeshi hilo wa nchi mbalimbali barani Afrika (waliokaa)
pamoja na maofisa wao (waliosimama) baada ya kufanya mkutano wa Taasisi za
Urekebishaji Barani Afrika (ACSA). Wakuu hao wa taasisi hiyo walifanya mkutano
wao katika Hoteli ya Sun iliyopo mjini Livingstone, nchini Zambia mwishoni mwa
wiki, wakijadili masuala mbalimbali ya kuyaboresha majeshi yao. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
on Tuesday, March 26, 2013
Post a Comment