Mshambuliani
wa pembeni wa timu ya netiboli ya Free Media Queens, Clezencia Tryphone
akimiliki mpira wakati wa michuano ya NSSF Media Cup uliofanyika kwenye Uwanja
wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Free Media ilishinda 23-20.
Mshambuliani wa pembeni wa Free Media Queens,
Clezencia Tryphone akimiliki mpira wakati wa michuano ya NSSF Media Cup
uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Free Media
ilishinda 23-20.
Wachezaji wa timu ya Free Media Queens wakiwa
mapumziko.
Matokeo ya mchezo kati ya Free Media Queens na
Uhuru Queens.
Mfungaji wa
timu ya IPP Queens akijiandaa kuifungia timu yake katika michuano ya NSSF Media
Cup ilipopambana na Sahara Media ambapo katika mchezo huo IPP iliibuka na
ushindi wa mabao 56-1
Mfungaji wa
timu ya IPP Queens akiwatoka wachezaji wa Sahara Media katika michuano ya NSSF
Media Cup ilipopambana na Sahara Media ambapo katika mchezo huo IPP iliibuka na
ushindi wa mabao 56-1
credits: Habari Mseto Blog
Post a Comment